CHANJO YA SURUA NA RUBELA INAENDELEA KUTOLEWA

 


Na mwandishi wetu

Chanjo ya Surua na Rubela imeanza kutolewa tarehe 15.02.2024 mpaka tarehe 18.02.2024  katika vutuo vyote vya kutolea huduma za Afya, na inatolewa kwa watoto wote kuanzia umri wa miezi 9 - 59. Hakikisha unampeleka mtoto akapate Chanjo hii.


Hapa ni Mhe Kasilda J. Mgeni, Mkuu WA Wilaya ya Same (katikati aliyebeba mtoto)  akiwa anazindua kampeni  kampeni ya chanjo ya SURUA na RUBELLA, Wilayani Same tarehe 15.02.2024.


« Onyesha Upendo, Mpeleke mtoto akapate chanjo’ @samedc
Post a Comment

0 Comments