DKT MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA VETA MKINGA MKOANI TANGA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Mkinga wakati akiwa ziarani Mkoani Tanga tarehe 22 Februari 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya mkongo katika Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Mkinga wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika chuo akiwa ziarani Mkoani Tanga tarehe 22 Februari 2024.


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mbonimpaye Mpango akipanda mti aina ya mkongo katika Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Mkinga wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika chuo hicho tarehe 22 Februari 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Mkinga wanaosoma masomo ya kompyuta wakati akiwa ziarani mkoani Tanga tarehe 22 Februari 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Mkinga wanaosoma masomo ya kompyuta wakati akiwa ziarani mkoani Tanga tarehe 22 Februari 2024.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkinga mara baada ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Mkinga akiwa ziarani mkoani Tanga tarehe 22 Februari 2024.
Post a Comment

0 Comments