MCHENGERWA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI LOWASSA

 


Waziri wa Nchi, Ofisi yz Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward N. Lowassa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo Februari 13, 2024.

Post a Comment

0 Comments