MH. KAIRUKI AWASILI WILAYANI KOROGWE KUSHIRIKI UFUNGUZI WA ZAHANATI YA KWEISEWA

 Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Angellah Kairuki (Mb) leo Februari  29,2024 amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ambapo pamoja na mambo mengine  atashiriki katika ufunguzi  wa Jengo la Zahanati ya Kijiji cha  Kweisewa kilichojengwa kwa kuwezeshwa na Hifadhi ya Taifa Mkomazi iliyopo wilayani humo  Mkoani Tanga.

Akizungumza katika kikao hicho ameitaka Wilaya ya Korogwe kuendelea kutangaza na kuibua vivutio vya utalii vilivyopo Wilayani humo.

Post a Comment

0 Comments