RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA NORWAY

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.Post a Comment

0 Comments