RAIS DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAZISHI YA HAYATI LOWASSA

 


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan #SamiaWaWatanzania akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. #PumnzikaKwaAmaniENL #AsanteEDO
Post a Comment

0 Comments