RAIS DKT SAMIA AWASILI ETHOPIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA

 


Baada ya kutoka kijijini Ngarash mkoani Arusha, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT amewasili Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika. 


Katika mkutano huu, pamoja na mambo mengine atajadili kuhusu amani na usalama wa nchi zetu, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya wakazi zaidi ya bilioni moja wa nchi wanachama.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi mara baada ya mazungumzo yao, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.


Post a Comment

0 Comments