BARCELONA YATUPA MACHO KWA HAALAND

 


Mshambulizi wa Manchester City na Norway Erling Haaland ameonekana kulengwa na Barcelona katika msimu wa joto wa 2025. Wakala wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, Rafaela Pimenta, alikutana na mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo ya La Liga, Deco, mwezi uliopita. (Mundo Deportivo - kwa Kihispania)

Mshambulizi wa Brentford na England Ivan Toney, 28, anaweza kuwa chaguo kwa Manchester United msimu huu wa joto. (Fabrizio Romano kupitia Caught Offside)

United wamemtambua kiungo wa kati wa Wolves wa Brazil Joao Gomes, 23, kama mbadala wa Casemiro, 32. (Sport - kwa Kihispania).

Arsenal inaonekana kuimarika katika nafasi yao ya kumsajili mshambuliaji wa Newcastle na Uswidi Alexander Isak baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kukiri "mambo yanaweza kutokea" katika dirisha la usajili(Mail

Post a Comment

0 Comments