CDE, MARIAM ULEGA AONGEZA NGUVU TENA KATIKA UCHAGUZI MDOGO KATA YA MILANZI ,KIBITI

 


Na mwandishi wetu

Katika kuhakikisha Chama cha mapinduzi ( CCM)kinapata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata  ya Milanzi wilaya ya Kibiti 


MARIAM ULEGA ambaye ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya UWT Taifa ametoa kofia hamsini za chama (50)lakini pia  ametoa kanga doti  35 na kiasi cha  shilingi Milioni moja kwa viongozi Ili kusaidia katika shughuli za kampeni.


Pia MARIAM ULEGA amehimiza umoja na mshikamano kwa viongozi na wanachama wote Ili kuimarisha Chama cha Mapinduzi ( CCM) ili kiendelee kushika dola lakini pia kiendelee kuwa sauti ya watanzania wote bara na visiwani.
Post a Comment

0 Comments