CHONGOLO AAPISHWA LEO KUWA MKUU WA MKOA WA SONGWE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.

Post a Comment

0 Comments