DKT BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA DEC

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya  Dongfang Electric International Corporation (DEC) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Ndg. Li Jianhua na ujumbe wake katika kikao kifupi kilicholenga kujadili kuhusu uwekezaji katika miradi ya umeme nchini leo tarehe 20 Machi, Bungeni jijini Dodoma

Post a Comment

0 Comments