DKT BITEKO AONGOZA KIKAO KAZI NGAZI YA MAWAZIRI JUU YA UENDELEZAJI WA BANDARI

 Na mwandishi wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao kazi  ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini.


Kikao kazi hicho kimefanyika tarehe 7 Machi, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta,  Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa Taasisi kutoka Sekta husika.

Post a Comment

0 Comments