DKT. BITEKO MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA MAJI TANZANIA

 


Na mwandishi wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ni Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Maji Tanzania na Siku ya Maji Duniani.


Maadhimisho hayo yanafanyika Mtumba jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi na wadau mbalimbali wa maji kutoka Serikalini na Sekta Binafsi. "UHAKIKA WA MAJI KWA AMANI NA UTULIVU"


Post a Comment

0 Comments