DKT. BITEKO MGENI RASMI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA AFYA YA MSINGI

 


Na mwandishi wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 25 Machi, 2024 anashiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Afya ya Msingi nchini unaofanyika jijini Dodoma.


Kaulimbiu ya Mkutano huo ni Huduma ya Afya ya Msingi ni  Nyenzo ya Kufikia Huduma ya Afya kwa Wote nchini (Primary Health  Care as a Vehicle  for  the Journey to Achieve Universal health Coverage in Tanzania)


Viongozi mbalimbali wa Serikali na wadau wa Sekta ya Afya wamehudhuria mkutano husika.Post a Comment

0 Comments