DKT MPANGO ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma. Tarehe 29 Machi 2024.

Post a Comment

0 Comments