KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA,KATIBA NA SHERIA YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI

 
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria ikikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na wajumbe wake wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Mary Makondo akitoa maelezo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kabla ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Florent Kyombo


Mhandisi wa mradi wa SUMA JKT, Mhandisi Baraka Mosha akitoa maelezo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Yahaya Masare akisisitiza jambo kwa Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo (wa kwanza kushoto) wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo akifafanua jambo kwa Mhe. Abdallah Mwinyi, mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa ziara ya Kamati hiyo ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo akitoa maelezo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kabla Kamati hiyo kuanza kukagua ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo (kushoto) akifafanua jambo kwa Mhe. Abdallah Mwinyi, mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa ziara ya Kamati hiyo ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Picha ya pamoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria; viongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria; watendaji wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; mkandarasi SUMA JKT; na mshauri elekezi TBA baada ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ujenzi ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakifuatilia kikao baina yao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa Ofisi hiyo kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma


Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaoendelea kufanyika kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma

Post a Comment

0 Comments