MAN UTD YAMRUHUSU ERIKSEN KUONDOKA MSIMU HUU WA JOTO

 


Manchester United itamruhusu kiungo wa kati wa Denmark Christian Eriksen, 32, kuondoka msimu huu wa joto. (Football Insider)

Real Madrid hawawezi kumudu kumnunua beki wa pembeni wa Liverpool na Uingereza Trent Alexander-Arnold, 25. (Goal).

Kiungo wa kati wa Ujerumani Toni Kroos, 34, anatazamiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia Real Madrid . (Fabrizio Romano)

Kocha msaidizi wa Liverpool Pep Lijnders atawania kuinoa Ajax msimu ujao. (Telegraph - usajili unahitajika)

Post a Comment

0 Comments