MANCHESTER UNITED YAANDAA KANDARASI MPYA YA KOBBIE MAINOO

 


Manchester United wako kwenye mazungumzo ya juu na kiungo wa kati wa Uingereza Kobbie Mainoo, 18, kuhusu kandarasi mpya. (Football Insider)

Chelsea wamemtambua kocha wa Inter Milan Simone Inzaghi kama mbadala wa kocha wao wa sasa Mauricio Pochettino. (TeamTalks)

Mshambulizi wa zamani wa Manchester United Eric Cantona amedokeza kuwa atavutiwa na nafasi katika klabu hiyo chini ya mmiliki mpya wa sehemu Sir Jim Ratcliffe. (Independent)

Post a Comment

0 Comments