MBUNGE OLE SENDEKA ANUSURIKA KIFO

 


Mbunge wa Simanjiro, Christopher Olesendeka ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana leo jioni, lakini yuko salama. 


Inasemekana Ole-Sendeka alipokea taarifa kuwa kuna gari lilikuwa likimfuata karibu na makutano ya Ng'abolok na Irkiushin, kisha watu hao walilipita gari lake na kufyatua risasi.

Post a Comment

0 Comments