MHE. KAPINGA AWAALIKA WANAWAKE KUSHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA TAREHE 9 MACHI 2024

 


Na mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga amewaalika Wanawake kutoka maeneo mbalimbali nchini kushiriki katika  kongamano kubwa la Wanawake la Nishati Safi ya kupikia  litakalofanyika jijini Dodoma ambalo limeandaliwa na Wizara ya Nishati.


Kongamano hilo litafanyika tarehe 9 Machi, 2024 ikiwa ni  sehemu ya Maadhimisho ya  Siku ya Wanawake Duniani pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini.

Post a Comment

0 Comments