MMBU CUP 2024 KUANZA KULINDIMA KESHO JUMATATU MARCH 11,2024 MIKOROSHINI VS KULANGWA FC

 


Na mwandishi wetu


Msimu wa kwanza wa Kombe la MMBU CUP 2024 yanaanza kesho Jumatatu March 11,2024 na kumalizika May 5,2024 ambayo MMBU CUP 2024 inafanyika uwanja wa Marobo Muungano Goba wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam.

MMBU CUP 2024 inashirikisha Timu zaidi ya ishirini ambazo zimetengwa makundi mananne (4) GROUP A,B,C na D.Kundi A zipo timu ya MIKOROSHINI FC,KULANGWA FC,MADUHU FC,CITY BOYS na VANGA MELI FC ambapo Kesho mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya MIKOROSHINI FC VS KULANGWA FC.


Hizi ndio makundi mengine ni Kundi B ambapo Kuna Timu ya KISIWANI FC,DANGOTE FC,TEGETA "A",MNAZINI na MAMELODI FC,Kundi C timu shiriki ni MKWAJUNI FC,MAROBO BOYS,BODA BODA MIVUMONI na KANKOKO FC na kundi la Mwisho GROUP D ni MAJENGO FC,ELESIA,MAROBO BOYS na YOUNG STARS.

Post a Comment

0 Comments