MZEE WA MJEGEJA AFARIKI DUNIA

 


Na mwandishi wetu

Msanii wa vichekesho ,Umar Lahbed Issa maarufu "Mzee wa MJEGEJA" amefariki Dunia Leo alfajiri Katika hospital ya rufaa ya Mwananyamala ,Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Meneja wa masanii huyo,Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo.

Post a Comment

0 Comments