NDUGU RABIA ABDALLA HAMID MJUMBE WA KAMATI KUU AONGOZA KIKAO KAZI NA VIONGOZI WA DIASPORA NCHINI UTURUKI

 Na mwandishi wetu


Ndugu Rabia Abdalla Hamid Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano Kimataifa   ameongoza Kikao Kazi na Viongozi wa Diaspora watanzania waishio nchini Uturuki kilichofanyika 24 Machi 2024 Jijini Istanbul.


Imetolewa na Tawi la CCM Diaspora nchini Uturuki.


📍Istanbul, Uturuki. 

🖇️24 Machi 2024


#CCMDiaspora 

#CCMImara 

#TunaendeleanaMama

Post a Comment

0 Comments