RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI KATIKA FUTARI

 Na mwandishi wetu


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na  Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu , Wajane, Yatima ,Wazee na Masheikh katika Futari  aliyowaandalia katika ukumbi wa Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 25 Machi 2024.


Post a Comment

0 Comments