RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA UWT TAIFA

 


Na mwandishi wetu


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole  Ikulu Mnazi Mmoja kutoka kwa Wajumbe wa Kamati ya  Utekelezaji wa  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  wakiongozwa na  

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda (MCC)  pamoja na Makamu wake Ndg.Zainab Shomari  kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .📅 16 Machi 2024


📍Ikulu, Zanzibar .

Post a Comment

0 Comments