RAIS DKT MWINYI AWASILI DAR KATIKA MASHINDANO YA QURAN DIAMOND JUBILEE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi 2024.


 Rais Dk.Mwinyi atahudhuria Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran yatakayofanyika kesho tarehe: 31 Machi 2024. ukumbi wa Diamond Jubilee.

Post a Comment

0 Comments