TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMANNE 05,2024

 


Manchester United na Paris St-Germain wanaibuka kuwa mstari wa mbele kumsajili mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, msimu huu. (Independent)

Newcastle United wanakaribia kukubaliana kandarasi mpya na Joelinton, huku kiungo huyo wa kati wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 akiwa amebakiza kidogo zaidi ya mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa. (Telegraph )

Tottenham Hotspur wametuma maskauti kwenda kumwangalia mchezaji wa Sporting Lisbon Morten Hjulmand, kiungo wa kati wa Denmark mwenye umri wa miaka 24 (Record, via Sun)

Chelsea imewataja wachezaji wa Brighton Roberto de Zerbi na Ruben Amorim wa Sporting kama wanaoweza kuchukua nafasi za Mauricio Pochettino. (Guardian)

Post a Comment

0 Comments