WAZIRI KAIRUKI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KUSHIRIKI MAONESHO YA UTALII ITB

 Na mwandishi wetu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani.


Katika hafla hiyo, Mhe. Kairuki amekutana na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Oman, Mhe. Salem bin Mohammed Al Mahrouqi, Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Mhe. Ahmed Al Khateeb, Naibu Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Princess Haifa Al Saud pamoja viongozi mbalimbali wa Sekta ya Utalii Barani Afrika.
Post a Comment

0 Comments