YANGA YAKUBALI KUTOA SARE NA MAMELODI SUNDOWNS

 


Timu ya Yanga imecheza mchezo wake wa robo fainali dhidi ya Mamelodi sundowns ya Afrika kusini Katika mchezo klabu bingwa Afrika na kuambuliwa sare ya kutofunguna.

Mchezo huo umechezwa Leo Jumamosi March 30,2024 Katika uwanja wa Benjamin MKAPA "lupaso" Jijini Dar es salaam wakati marudiano yatafanyika wiki ijayo Afrika kusini.

YANGA SC 0-0 MAMELODI SUNDOWNS


Post a Comment

0 Comments