BALOZI DKT NCHIMBI AWAPONGEZA UVCCM KUFANYA DUA MAALUM YA KUMUOMBEA DKT SAMIA

 Na mwandishi wetu

Katibu mkuu wa chama cha Mapindunzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amewapongeza Jumuiya ya Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapindunzi (UVCCM) kwa kushirikiana na Madrasat Annujum litahifidh al Qu-ran kufanya Dua maalum ya kumuombea Mwenyekiti wa chama Cha Mapindunzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuliomgoza Taifa letu kwa amani na upendo lakini kuandaa iftar na kushirikiana kufturu na watoto Yatima.

"Kufturu na watoto Yatima ni kitendo Cha upendo na malipo yake ni makubwa kwa mwenyenzi mungu"alisema Balozi Dkt Nchimbi.

Post a Comment

0 Comments