DKT. BITEKO AFUTURISHA JIMBONI BUKOMBE

 Na mwandishi wetu


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe leo tarehe 4 Aprili, 2024 ameshiriki Iftari na makundi mbalimbali ya Wananchi jimboni humo mkoani Geita ikiwa ni ishara ya upendo kwa wananchi hao na tukio la ukarimu katika mwezi Mtukufu wa Ramadhan unaoendelea. 


Iftari hiyo ilihudhuriwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally na viongozi wengine wa dini.
Post a Comment

0 Comments