DKT. BITEKO AMWAKILISHA MAKAMU WA RAIS IFTARI YA VIONGOZI WA DINI DAR ES SALAAM

 


Na mwandishi wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 5 Aprili, 2024 amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika Iftari inayohusisha Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini pamoja na Wananchi wa makundi mbalimbali inayofanyika katika ukumbi wa Police Messy jijini Dar es Salaam.


Iftari hiyo imeandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT)Post a Comment

0 Comments