DKT. BITEKO AWASILI PEMBA

 Na mwandishi wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Hamza Hassan Juma kwaajili ya shughuli za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofikia kilele chake terehe 26 April 2024.


Akiwa Kisiwani humu Dkt. Biteko ataweka jiwe la Msingi wa Ujenzi wa kituo cha Afya, Shehia ya kinyikani wilaya ya Wete, Pembe.
📍Pemba - Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments