FAMILIA YA MWINYI YAFANYA DUA YA KUMUOMBEA HAYATI MZEE MWINYI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  ameshiriki  katika kisomo maalum cha Khitma ya kumuombea baba yake Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyoandaliwa na Familia ambayo imefanyika nyumbani, Mikocheni jijini Dar es Salaam, tarehe 31 Machi 2024.


Post a Comment

0 Comments