KATIBU WA BUNGE AONGOZA MKUTANO WA WATUMISHI WOTE WA OFISI YA BUNGE

 


Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc ameongoza Mkutano wa Watumishi wote ofisi ya Bunge uliofanyika leo tarehe 6 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.


Katika Mkutano huo pamoja na mambo mengine imetolewa taarifa kuhusu Bunge Marathon na Ratiba ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge.Post a Comment

0 Comments