KIPA RAMSDALE KUONDOKA ARSENAL MSIMU HUU

 


Kipa wa England Aaron Ramsdale anatarajiwa kuondoka Arsenal msimu huu, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 akilengwa na Newcastle United. (Football Insider)

Manchester United wana nia ya kumteua kocha wa Bologna Thiago Motta kama mbadala wa Ten Hag. (Gazzetta dello Sport - in Italian)

Kocha wa zamani wa Chelsea na Everton Frank Lampard ameibuka kuwa mgombea wa kushtukiza kuchukua mikoba ya kuinoa timu ya taifa ya Canada. (Telegraph)

Post a Comment

0 Comments