LIVERPOOL,MANCHESTER UTD,CHELSEA VITANI KWA KIUNGO WA BENEFICA JOAO NEVES

 


Liverpool wameungana na Manchester United na Chelsea katika mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Benfica na Ureno Joao Neves, 19, ambaye ana kipengele cha kutolewa cha euro 120m (£102.6m). (O Jogo, via Sport Witness)

Manchester United na Manchester City wanavutiwa na beki wa Bayer Leverkusen Mholanzi Jeremie Frimpong, 23. (Sun)

Manchester City wanatazamia kufufua upya azma yao ya kumnunua kiungo wa kati wa West Ham na Brazil Lucas Paqueta mwenye umri wa miaka 26 msimu huu. (Football Insider)

Post a Comment

0 Comments