MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO ASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMUOMBEA HAYATI KARUME

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, viongozi mbalimbali pamoja na familia ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakiomba dua mbele ya kaburi la Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika kumbukizi ya miaka 52 ya kifo chake tarehe 07 Aprili 2024 iliyofanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi – Kisiwandui Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments