MAONESHO YA WIKI YA NISHATI YAANZA RASMI BUNGENI DODOMA

 Na mwandishi wetu

Maonesho ya Wiki ya Nishati yameanza rasmi katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.


Katika picha ni Wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakiwa tayari kutoa huduma kwa Wabunge na Wananchi watakaohudhuria Maonesho husika.


Maonesho hayo yaliyoanza leo yatahitimishwa tarehe 19 Aprili 2024..
Post a Comment

0 Comments