MTANGAZAJI WA CLOUDS FM GADNER G.HABASH AFARIKI DUNIA

 


Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu. #RIPCaptain πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Post a Comment

0 Comments