MUONEKANO WA MABANDA YATAKAPOFANYIKA MAONESHO YA KILIMO KUANZIA KESHO

 Na mwandishi wetu

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau kwenye sekta ya kilimo kuanzia kesho Aprili 30, 2024 wataonesha shughuli mbalimbali za kiteknolojia zinazotumika katika sekta husika kwenye kuendeleza kilimo nchini


Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya "from Lab to Farm 2024" yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa kilimo wanaonesha shughuli zao

Post a Comment

0 Comments