RAIS DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA DKT. TULIA ACKSON

 Na mwandishi wetu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Leibon, Dar es Salaam kutoka kwa Mhe. Dkt. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifariki dunia tarehe: 29 Februari 2024. 


Post a Comment

0 Comments