RAIS DK.MWINYI ASHIRIKI MAZIKO YA MBUNGE WA JIMBO LA KWAHANI

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil aliyezikwa kijijini kwake Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja tarehe: 09 Aprili 2024.

Post a Comment

0 Comments