RAIS DKT MWINYI AZUNGUMZA NA MASHEKHE WA ZANZIBAR KUMTAKIA KHERI YA EID MUBARAKA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Masheikh wa Zanzibar wakiwemo wa Unguja na Pemba waliofika Ikulu Mnazi Mmoja kumtakia kheri ya Sikukuu ya Eid na kumuombea Dua tarehe 10 Aprili 2024.
Post a Comment

0 Comments