RAIS DKT SAMIA APOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA JUWAKITA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan ambaye aliwasilisha kwa niaba ya Wanajumuiya wenzake wakati wa Baraza la Eid El Fitr lililofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.Post a Comment

0 Comments