REA NA MAGEREZA ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

 


*Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA); Mhandisi Hassan Saidy (Kushoto) akiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Nyamka (Kulia) wakisaini Hati ya Makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa Programu ya ujenzi wa miundombinu ya Nishati Safi ya Kupikia Magerezani, Leo Tarehe 9 Aprili, 2024 katika ukumbi wa makao makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dodoma.**Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA); Mhandisi Hassan Saidy (Kushoto) akiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Nyamka (Kulia) wakishikana mikono mara baada ya kusaini Hati ya Makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa Programu ya ujenzi wa miundombinu ya Nishati Safi ya Kupikia Magerezani, Leo Tarehe 9 Aprili, 2024 katika ukumbi wa makao makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dodoma.**Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA); Mhandisi Hassan Saidy akihutubia wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jeshi la Magereza makao makuu, Jijini Dodoma.*


*Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakifuatilia hotuba za Viongozi wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa Jeshi la Magereza, Jijini Dodoma, leo Tarehe 9 Aprili, 2024.*


*Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Nyamka akihutubia wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jeshi la Magereza makao makuu, Jijini Dodoma.*

*Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB); Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu akihutubia wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa Jeshi la Magereza, Jijini Dodoma, leo Tarehe 9 Aprili, 2024.*


*Askari kutoka Jeshi la Magereza makao makuu wakifuatilia hotuba za Viongozi wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa Jeshi hilo, Jijini Dodoma, leo Tarehe 9 Aprili, 2024.*


*Askari kutoka Jeshi la Magereza makao makuu wakiwa pamoja na Menejimenti ya REA wakiwa pamoja na Viongozi Wakuu wa Taasisi hizo mbili kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa  hafla hiyo, Jijini Dodoma.*


*Askari kutoka Jeshi la Magereza makao makuu wakiwa pamoja na Menejimenti ya REA wakiwa pamoja na Viongozi Wakuu wa Taasisi hizo mbili kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa  hafla hiyo, Jijini Dodoma.*

Post a Comment

0 Comments