SEVILLA YATAKA KUMUWEKA SOKONI YOUSSEF EN-NESYRI

 


Sevilla watataka kumuuza mfungaji bora Youssef En-Nesyri, huku mshambuliaji huyo wa Morocco mwenye umri wa miaka 26 akiwa "mlengwa" katika vilabu kadhaa vya Ligi ya Premia. (Marca - in Spanish)

Arsenal wameungana na wenzao kama Manchester United na Bayern Munich kumfuata Mikayil Faye wa Barcelona kabla ya kumnunua beki huyo wa Senegal, 19. (Mail).

Post a Comment

0 Comments