SPIKA WA BUNGE DKT TULIA ACKSON ASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA HAYATI SHEKHE ABEID KARUME 

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki hafla ya maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kufariki kwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume (Karume Day) iliyofanyika Visiwani Zanzibar leo tarehe 7 Aprili, 2024.


Post a Comment

0 Comments