TRC YAPOKEA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA YA EMU


Na mwandishi wetu,Dar es salaam

Shirika la Reli Tanzania imepokea seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya Electric Multiple unit (EMU),Halfa ya mapokezi imefanyika Leo Jumatano April 03,2024 Bandarini Jijini Dar es salaam,Tukio hilo limehudhuriwa na Waziri wa Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa na uongozi wa  shirika la TRC.


Akizungumza na waandishi wa Habari Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema "Kichwa kimoja kitabeba mabehewa nane,Watanzania wengi walikuwa wanazungumzia kichwa Cha namna hii MCHOMOKO ..Nafikiri Katika nchi za Afrika mashariki na kati hiki ndio vichwa VYA mwanzo kuingia Katika ukanda huu EMU"


Na 

Post a Comment

0 Comments