TUNAENDA KUMFUNGA YANGA TUNA BEBA NA KOMBE.

 


Na mwandishi wetu

"Sisi Simba bado tunaamini tunaenda kubeba ubingwa wa ligi kuu msimu huu, bado nafasi ya kubeba ubingwa tunayo, mfano tukishinda kesho itakuwa tumeachwa alama 4 na anaeongoza ligi, tukimfunga April 20 inabaki alama moja, Je? hapo hatuwezi kubeba ubingwa?."


"Hatima yetu msimu huu imeshikiliwa na michezo miwili ya Ihefu SC na ujao dhidi ya Yanga, hii ndio itatoa sura yetu ya kwenda kibeba ubingwa wa ligi, na tunajua tunaoenda kucheza nao kesho watu wanaofungamana nao, sasa twendeni tukaishangilie timu yetu, twendeni tukawape hamasa ili warudishe morali kuelekea mchezo wetu wa Dabi."


AHMED ALLY,Msemaji wa Klabu ya Simba.

Post a Comment

0 Comments